More

Kenyan metaphors redefined!

Methali in Kenya.

1: umoja ni estate utengano ni setbook!

2: mbio za marathon huishia kwa balcony!

3: cha mlevi huliwa na makarao!

4: mwenye macho hanywi chang’aa!

5: asiyekubali kushindwa atakuwa prime minister!

6: mpiga ngumi ukuta ni sonko!

7:usipoziba ufa watu watakuchungulia!

8: kidole kimoja ni jina ya church ya hellon!

9: asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na google!

HowKE Team

Here to give precise how to guides. Helping you,Know Everything!